Ani-Tv icône

1.1 by Aniwene Solutions


May 26, 2017

À propos de Ani-Tv

Français

AniTv inakuhabarisha kila wakati na popote ulipo mambo yanayoendelea nchini sasa

Pata habari zote zinazoendelea Tanzania kila siku na kila wiki kupitia Ani-TV. Habari mbali mbali kutoka katika vyombo vya habari mbalimbalikote nchini. Pata habari zilizojiri ndani ya masaa 24 na angalia Taarifa za habari live kutoka vyombo mbali mbali vya kurushia matangazo

Yaliyomo:-

*Habari Live

*Habari zilizojiri (24hrs)

*Habari nyinginezo (siasa, entertainment, michezo, Biashara na Unchumu n.k)

*Michezo (Mpira wa miguu, tennis, mpira wa kikapu N.k)

*Matangazo (Angalia matangazo kutoka serikalini, matangazo ya viwanja, nyumba n.k)

*Aniwene Solutions (Angalia video kutoka Aniwene Solutions)

*CelebSelect (Angalia video za mastaa, pesa, magari, nyumba zao na maisha yao)

*Commando (Angalia jinsi makomando wanavyofanya mazoezi magumu na maonyesho yao)

*Consultancy (Pata ushauri wa mambo mbalimbali katika maisha)

*Chakachua (Angalia jinsi gani unaweza tumia vitu vya nyumbani kutengeneza vitu vikubwa, angalia pia mambo ambayo hukuwahi kuyajua ambayo yatasisimua akili yako)

*Dance (Angalia dance tofauti tofauti duniani ambazo unaweza kupenda)

*Documentary (Angalia video za mambo mbali mbali kama historia , wanyama mistuni na kadhalika)

*Elimu (Angalia video zinazohusiana na elimu na elimu mashuleni)

*Fashion & Style (Angalia vipindi vyako mbali mbali uvipendavyo sasa)

*Gospel (Angalia mahubiri na kwaya tofauti uzipendazo pamoja na nyimbo za injili)

*Inventions (Angalia vitu vipya vilivotengenezwa hivi karibuni )

*I.T (Jifunzejinsi ya kutengeneza website, Mobile app, jinsi ya kurekodi na kadhalika )

*Movie Trailer (Angalia trailer ya movie mpya yoyote ambayo inakaribia kutoka hivi karibuni au imekwaisha toka)

*Music (Angalia video za nyimbo uzipendazo pamoja na waimbaji uwapendao. Pata taarifa pale tu mwimbo mpya unapotoka)

*TV-Shows (Angalia TV shoo mbali mbali za ndani na nje ya nchi)

*Vichekesho (Angalia video za kuchekesha na kuvunja mbavu)

*Watoto ( Katuni kwa ajili ya watoto na TV shoo ambazo znawafaa watoto wa umri zote)

*ADMIN (Hapa ataweza kuingia tu mtengenezajo wa app hii)

TAGS [Ani-TV] [Ani TV] [Ani-Tv] [Ani Tv] [ani tv] [ani-tv] [ANI TV] [ANI-TV] [aniwene solutions] [aniwene] [ani TV] [ani-TV] [ani Tv] [ani-Tv]

Quoi de neuf dans la dernière version 1.1

Last updated on May 26, 2017

Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Chargement de la traduction...

Informations Application supplémentaires

Dernière version

Demande Ani-Tv mise à jour 1.1

Nécessite Android

2.3 and up

Voir plus

Ani-Tv Captures d'écran

Charegement du commentaire...
Langues
Recherche en cours...
Abonnez-vous à APKPure
Soyez le premier à avoir accès à la sortie précoce, aux nouvelles et aux guides des meilleurs jeux et applications Android.
Non merci
S'inscrire
Abonné avec succès!
Vous êtes maintenant souscrit à APKPure.
Abonnez-vous à APKPure
Soyez le premier à avoir accès à la sortie précoce, aux nouvelles et aux guides des meilleurs jeux et applications Android.
Non merci
S'inscrire
Succès!
Vous êtes maintenant souscrit à notre newsletter.