Use APKPure App
Get Kesha old version APK for Android
Télécharger kitabu hiki cha Kesha la asubuhi, toleo la kiswahili
Téléchargez l'application hii ili kuweza kusoma kwa urahisi kitabu cha Kesha la asubuhi, l'application kwaajili ya simu ili kumuwezeaha mtumiaji wa simu janja (smartphone) kujipatia ujumbe ule ule unaopatikana katika kitabu harisi cha Kesha la asubuhi.
Hii ni app ya bure kabisa na haimuhitaji mtumiaji kufanya malipo yoyote ili kutumia au kusoma sehemu yoyote ndani ya app.
Pakua app hii ya Kesha la asubuhi, na hakikisha unasoma kwa kufata tarehe husika kulingana na somo la siku hiyo. Kabla hujaanza kusoma ni vizuri ukamuomba Roho Mtakatifu ili kuongoza katika fasili sahihi, na kwakufanya hivyo imani yako itazidi kukua siku hadi siku na utazidi kubarikiwa na kuandaliwa kiroho kwaajili ya maisha baada ya maisha haya.
Last updated on Mar 13, 2024
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Telechargé par
Tuam Tsab
Nécessite Android
Android 4.1+
Catégories
Signaler
Kesha
La Asubuhi0.1.4 by Joshua Kanyamanza
Mar 13, 2024