Use APKPure App
Get Kilimo Tanzania. old version APK for Android
Kilimo Tanzania ni Android App inayotoa Mafunzo ya Kilimo na Ujasiriamali.
App yetu inatoa mafunzo ya Kilimo katika nyanja mbalimbali kama vile Biashara, Teknolojia za kilimo, Mapishi, Ufugaji na Sanaa.
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.
.
.
Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video.
.
.
Pia unaweza kututembelea katika Site Web yetu www.kilimobiashara.org.
Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (App na Website) isipokua Majarida 'yanauzwa'.
Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano yetu.
Courriel :[email protected]
Whatsapp : +255 762 799 080
.
****************************************************** **************
Solutions Android
Conçu par;
Solutions Android Mshindo
Wanging'ombe
Njombe.
Whatsapp : +255 762 799 080
Courriel : [email protected]
Last updated on Apr 2, 2024
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Telechargé par
Raman Singh
Nécessite Android
Android 4.4+
Catégories
Signaler
Kilimo Tanzania.
1.8 by Mshindo Media
Apr 2, 2024