Wasafi Dating - For Serious Relationship icône

0.04 by Wanyalu Apps


Jun 27, 2019

À propos de Wasafi Dating - For Serious Relationship

Happy and Bashasha est l'endroit où vous faites les bons choix pour le meilleur partenaire!

Hakuna kitu rahisi na wala hakuna kitu kigumu, lakini wengi wanaamini kupata mpenzi au mapenzi ya kweli kuna ugumu kama udongo uliokauka. Jibu la kimwambao na la kimahaba, unaambiwa, Ugumu upo kwako ila kwa wenzio hakuna ugumu, kwasababu kila kukicha watu wanaoana, watu wanaingia katika penzi jipya.

Pakua Wasafi Dating App, Jisajili na kisha Tafuta wa ukweli, Au rafiki. Lakini Unapofanya maamuzi ya kutafuta Mpenzi wa ukweli, basi uwe umeaacha mambo ya kitoto na kwamba wewe ni mtu nzima unaehitaji kulea familia yako n.k.

Lakini kama hutaki kutafuta wa ukweli, basi App hii pia itakuwezesha kufanya yafuatayo...

*Kuchat na Marafiki au na watu mbalimbali

*Kupost picha au videos, Marafiki zako watalike na kukoment

*Kubadili Profile Picha, Kutangaza Biashara yako

*Kutafuta wachumba, marafiki na watu wa kufanya biashara au kubadilishana mawazo

*Unaweza kununua Ghost, ili usionekane pale unapotazama profile ya mwingine

*Kuwa Verified

*Zawadi kwa kutazama Rewards Videos

Na mengineyo mengi.

App hii, imechanganywa na Lugha mbili, Kiswahili kama Lugha ya nyumbani na Kingereza kama lugha tuliyoipata Shuleni.

App hii, ni kwaajili ya watu wa Afrika Mashariki, Ipakue na ufurahie au kuchat na yeyote hapa Afrika Mashariki.

App yetu ni App yako, Haturuhusu uvunjifu wa sheria wala kufanya siasa, ni App kwaajili ya mahusiano tu.

Kanusho:

App hii, haimilikiwi na WCB, upo utofauti mkubwa sana wa Wasafi Dating na WCB. Lakini ni App ya watu wote, mafans n.k, Hivyo usisite kuipakua.

Quoi de neuf dans la dernière version 0.04

Last updated on Jun 27, 2019

Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Chargement de la traduction...

Informations Application supplémentaires

Dernière version

Demande Wasafi Dating - For Serious Relationship mise à jour 0.04

Nécessite Android

4.0.3 and up

Voir plus

Wasafi Dating - For Serious Relationship Captures d'écran

Charegement du commentaire...
Recherche en cours...
Abonnez-vous à APKPure
Soyez le premier à avoir accès à la sortie précoce, aux nouvelles et aux guides des meilleurs jeux et applications Android.
Non merci
S'inscrire
Abonné avec succès!
Vous êtes maintenant souscrit à APKPure.
Abonnez-vous à APKPure
Soyez le premier à avoir accès à la sortie précoce, aux nouvelles et aux guides des meilleurs jeux et applications Android.
Non merci
S'inscrire
Succès!
Vous êtes maintenant souscrit à notre newsletter.